Huoni kufanya hivyo ni kumnyima haki zake anazostahili .
Kuzaliwa masikini was not your choice,but kufa masikini it is your choice.
Kama hujui mambo unaweza taka kukubaliana na huyo jamaa lakini mi nakuunga mkono kama ukivosema kuwa siamini wala hatutakiwi kuamini kwamba kuna ambao walizaliwa ili wawe maskini bali tupambane mpaka kieleweke hizo kazi ngumu na uvuvi na kulima na zege zitafanywa na mashine au marobot si ndo kazi yao kuhusu kilima nyanya au kuvua samaki hata mayajiri wanalima kibiashara kwani anelima ni maskini tu kilimo kinataka uwe na mtaji hivo ukiwa tajiri unalima kisasa na kwa uhakika zaidi na chakula kitakuwepo hata cha kulisha duania nzima kabisa..hera ndio kila kitu buana.Najaribu kukuelewa nashindwa ufafanuzi zaidi unahitajika hapa.
nature ni nini?
inachaguaje nani awe maskini na nani awe tajiri?
kwa vigezo gani?
kama shida ni kulima, kuvua, kukesha baharini mashine haziwezi kufanya hizo kazi?
Cdhani kama ni sahihi hiliSuluhisho dhidi ya umaskini ni moja tu, Masikini asiruhusiwe kuzaa!
Kama hujui mambo unaweza taka kukubaliana na huyo jamaa lakini mi nakuunga mkono kama ukivosema kuwa siamini wala hatutakiwi kuamini kwamba kuna ambao walizaliwa ili wawe maskini bali tupambane mpaka kieleweke ,kwa hiyo aneamua kuwa maskini au tajiri ni wewe mwenyewe ktk akili yako na matendo yako ukifuata kanuni hizo alizoeleza mleta mada utafanikiwa utake ustake,upende au usipende maana unafata kanuni ya kuingiza sana na kutumia kidogo ndio kanuni kuuu ya kufanikiwa ,hata iweje utafanikiwa tu hakuna wa kuweza kuzuia labda kukuchelewesha tu ila kufanikiwa kuko palepale kama utafuata hizo kanuni..hizo kazi ngumu na uvuvi na kulima na zege zitafanywa na mashine au marobot si ndo kazi yao kuhusu kilima nyanya au kuvua samaki hata mayajiri wanalima kibiashara kwani anelima ni maskini tu kilimo kinataka uwe na mtaji hivo ukiwa tajiri unalima kisasa na kwa uhakika zaidi na chakula kitakuwepo hata cha kulisha duania nzima kabisa..hera ndio kila kitu buana.Kama wote wangekuwa matajiri, Dunia hiyo ingekuwaje?
Nani amtume nani?
Nani amsikilize nani?
Utegemeano ktk mazingira ungekuwepo?
Ni hivi Mkuu, ukizaliwa masikini manake wewe haukuwa sehemu ya hayo matatizo, umeyakuta na hauwezi kulaumiwa, ila ukifa masikini manake wewe ni sehemu ya tatizo, aidha haukufanya unalopaswa kufanya ili usife masikini. Mkuu, hakuna excuse, kila mtu hapa duniani amepewa akili ya kupambana na maisha ili asiwe masikini, hauhitaji elimu ya darasani ili uondokane na umasikini, ni elimu ya kupambana na mazingira uliyokuwanayo ndiyo inatosha kukufanya usiwe masikini. Umasikini una vigezo, na unachotakiwa kufanya ni kupambana ili maisha yako yawe juu ya hivyo vigezo. Zaidi ya hapo sasa wewe unataka utajiri.Siyo rahisi kihivyo, binadamu tuna limitations, fikiria mtoto anayelala kwenye maboksi mtaani anaishi kwa kuomba omba huyu utasema ni chaguo lake kufa masikini? Ili ufanikiwe unahitaji elimu, sasa yeye elimu ataipata wapi kama hata chakula hana?
Sio kwel waliofanikiwa wengi wakikuwa hawana elimu kabisa mfano mzur ni kwa tajiri wa dunia billgetSiyo rahisi kihivyo, binadamu tuna limitations, fikiria mtoto anayelala kwenye maboksi mtaani anaishi kwa kuomba omba huyu utasema ni chaguo lake kufa masikini? Ili ufanikiwe unahitaji elimu, sasa yeye elimu ataipata wapi kama hata chakula hana?
Sio kwel waliofanikiwa wengi wakikuwa hawana elimu kabisa mfano mzur ni kwa tajiri wa dunia billget
Ni hivi Mkuu, ukizaliwa masikini manake wewe haukuwa sehemu ya hayo matatizo, umeyakuta na hauwezi kulaumiwa, ila ukifa masikini manake wewe ni sehemu ya tatizo, aidha haukufanya unalopaswa kufanya ili usife masikini. Mkuu, hakuna excuse, kila mtu hapa duniani amepewa akili ya kupambana na maisha ili asiwe masikini, hauhitaji elimu ya darasani ili uondokane na umasikini, ni elimu ya kupambana na mazingira uliyokuwanayo ndiyo inatosha kukufanya usiwe masikini. Umasikini una vigezo, na unachotakiwa kufanya ni kupambana ili maisha yako yawe juu ya hivyo vigezo. Zaidi ya hapo sasa wewe unataka utajiri.
Mkuu, kwanza kabisa naomba uondokane na dhana ya utajiri ukiwa unapigana vita na umasikini. Umasikini umewekewa vigezo, baadhi ya vigezo ni pamoja na kukosa huduma za msingi kama vile, makazi bora, chakula bora na maji safi na salama, matibabu na kuwa na ziada kwa ajili ya kufanya shangwe mbili tatu. Hivyo basi, usiwaze utajiri, bali jitihada zifanyike ili kuhakikisha unapata hizo huduma za msingi na muhimu na hapo utakua umeondokana na umasikini, lakini haujawa tajiri. Kwa muujibu wa mfano wako, kwangu mimi naona huyo kijana bado anayo nafasi ya kuushinda umasikini, kama anao, na kuishi maisha mazuri yeye pamoja na nduguze. Kimsingi, changamoto anazopitia huyo kijana ni fursa ya kuondokana na hali yake duni ya kimaisha. Nafasi bado anayo, na akitumia vizuri akili yake atatoka tu, kila mtu anayo nafasi ya kutoka kimaisha.Siyo kweli, bado unarahisisha sana mambo, kama nilivyosema binadamu tuna limitations ambazo ziko nje ya uwezo wetu, wakati mwingine unazaliwa ktkt mazingira ambayo hayaruhusu wewe kwenda mbele, nitakupa mfano niliona ITV kuna mtoto huko kijijini ana miaka 15 wazazi wake wote wamefariki na ana wadogo zake 3 yeye tayari ni mzazi kwa wadogo zake, akienda Shuleni anatoroka hawezi kukaa kwa sababu ya njaa, pili watoto (wadogo) zake nyumbani hawana mtu, huyu mtoto ana nafasi gani ya kuja kuwa tajiri maishani mwake? Na kosa lake ni lipi? Amezaliwa ktk hayo mazingira na hizo ndiyo limitations za maisha hakuna kitu anaweza kufanya.
Kuna watu wengi sana Duniani wanakumbana na hali kama hizo hivyo usihukumu watu usiowajua kwamba kla anayekufa masikini ni kosa lake hapana, kumbuka tuna limitations ambzo ziko nje ya uwezo wetu!
Loverness umeelezea vizuri
Ila tafsiri ya umasikini haipo tu kwenye vipengele ulivyobainisha,tafsiri ya umasikini inatokana na mazingira,jinsi na pengine hata umri.
1.Tafsiri ya kimazingira:mfano umasaini ukiwa na ng'ombe wawili au watatu wanaweza kukuona ni masikini lakini uchagani suala la ng'ombe hawapimi kwa umasikini,pia jamii nyingi za kiafrika wanaona umasikini ni ile dhana ya kukosa milo mitatu kwa siku ila kwa jamii za magharibi umasikini sio kukosa basic needs maana serikali zinawapa mfano scandnavian countries.
2.Tafsiri ya Jinsi:mfano mwanamke anaweza kuona umasikini ni kushindwa kuwa na mavazi au maua mazuri nyumbani kwake ila mwanaume anaweza kuona umasikini ni kushindwa kuheshimika katika familia
3.Tafsiri ya Umri:mfano mtoto wa miaka kumi anaweza kujiona yeye ni masikini endapo hajanunuliwa vifaa vya michezo ila mtu mwenye umri wa miaka 26 anaweza jiona masikini kwa kukosa ajira tu.
Umasikini hauna tafsiri moja maana tafsiri yake imekaa kimtazamo zaidi
Kuna wakati nilishiriki zoezi la kutoa huduma mahali fulani kwa jamii za vijijini,tulikuwa tunasomewa orodha ya kaya masikini wakati mchakato unaendelea kuna mzee aliandikwa yeye ni kaya masikini,Alikasirika sana akasema mimi sio masikini nina mikono nina miguu ninaongea vizuri tu Tuligundua neno MASIKINI ndilo limemkera.
Hivyo ninakubaliana na aliesema tutumie neno "DUNI"
Mkuu, kwanza kabisa naomba uondokane na dhana ya utajiri ukiwa unapigana vita na umasikini. Umasikini umewekewa vigezo, baadhi ya vigezo ni pamoja na kukosa huduma za msingi kama vile, makazi bora, chakula bora na maji safi na salama, matibabu na kuwa na ziada kwa ajili ya kufanya shangwe mbili tatu. Hivyo basi, usiwaze utajiri, bali jitihada zifanyike ili kuhakikisha unapata hizo huduma za msingi na muhimu na hapo utakua umeondokana na umasikini, lakini haujawa tajiri. Kwa muujibu wa mfano wako, kwangu mimi naona huyo kijana bado anayo nafasi ya kuushinda umasikini, kama anao, na kuishi maisha mazuri yeye pamoja na nduguze. Kimsingi, changamoto anazopitia huyo kijana ni fursa ya kuondokana na hali yake duni ya kimaisha. Nafasi bado anayo, na akitumia vizuri akili yake atatoka tu, kila mtu anayo nafasi ya kutoka kimaisha.
Mkuu, mambo ya umasikini na masikini ninayaongea kwa umakini mkubwa sana. Maisha ya wanadamu wote yana vikwazo vikubwa. Wengi wa watu waliofanikiwa ni wale waliopambana na vikwazo vingi na kuvishinda. Siyo sahihi hata kidogo kudhani watu wenye vikwazo vingi hawataweza kuvishinda na kuondokana na umasikini. Siyo sahihi kabisa kukata tamaa au kuwakatisha tamaa watu walio kwenye mapambano ya kimaisha. Ni sehemu ya maisha ya mwanadamu kupambambana na changamoto, pale changamoto zinapotushinda sawa tunajipanga tena na kuanza upya pale tunapozishinda tunasema hewala na kuendelea. Maisha ni mapambano hakuna asiye na nafasi ya kutoka.Bado unachanganya mambo, hilo linawezekana lkn siyo kwa jitihada zake bali kama kuna atakayeingilia na kumsadia ikiwa ni pmj na wasamalia wema kujitokeza kumsadia lkn yeye kama yeye uwezekano wa kuondokana na hiyo poverty trap ni mdogo sana ni karibia haiwezekani, hivyo kumlaumu mtu kama huyu kwamba ni kosa lake kufa masikini siyo haki kwani mazingira aliyopewa hakuyaomba amelazimishwa kuwa hivyo ni sawa na kumlaumu kipofu kwanini amezaliwa kipofu wakati karibia kila mtu amezaliwa na macho yanayoweza kuona na huo ni mfano tu, wapo watu wengi ambao maisha yao yamewekewa vikwazo au vihunzi ambavyo ni ngumu au haiwezekani kuviruka, hivyo kuwa mwangalifu siku zote unapoongelea mambo kama haya, usirahishe mambo namna hiyo!
Najaribu kukuelewa nashindwa ufafanuzi zaidi unahitajika hapa.
nature ni nini?
inachaguaje nani awe maskini na nani awe tajiri?
kwa vigezo gani?
kama shida ni kulima, kuvua, kukesha baharini mashine haziwezi kufanya hizo kazi?