Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

Mambo ya uzinzi ni mapokeo toka Mashariki ya kati. Hayakuwepo miongoni mwa jamii za Kiafrika
 
Unajua ninyi wahubiri wa kiafrika wengi wenu hamjui mnayofundisha Yani mnatoaga quotation kutoka kwenye bible Kwa kulazimisha context, Sasa uzinzi unakujaje kwenye mada hii ? Ina maana mtu akiwa na girlfriend ni dhambi ? Dhambi itahesabika Kwa matendo watayofanya kama kutiana kabla ya ndoa ,ila kama hawatofanya mpaka ndoa hapo hakuna dhambi ?

Maana mtu akiwa na boyfriend au girlfriend hiyo ni level ya chini kabla hawajafikia uchumba ambapo kwenye uchumba wanakuwa pande mbili zishatambulishana Kwa wazazi then ndoa inafata..Sasa mtu akiwa na girlfriend uzinzi hapo unakujaje ? Manake kama ni uzinzi hata kwenye uchumba watu wanaweza kufanya na hapo utasema uchumba ni dhambi?

Yani nyie mko primitive sana alafu mnataka kushindana na nature,kwamba watu waokotane TU eti bila kusomana tabia kwenye ugirlfriend na boyfriend?
 
Haya hongera mkuu na kuwa na siku njema.
 
Wewe huyo ktk 1 na 2, huna bayaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama tuna viongozi wazinzi na wafiraji unadhani wanatoka kwenye jamii gani?

Wanaharakati walijaziwa mahela kuendesha miradi ya mabilion ya kukataa jando na unyago kwa sababu tu ya baadhi ya contents zake haziendi sawa na usasa. Badala ya kupambania kuondoa vipengele vya hovyo waliamua kufuta mazimaa mafunzo yote ambayo sehemu kubwa yalijaa maadili na uanagenzi wa familia. Leo wamekaa kimya kama siyo wao vile.

Tuendelee kuishi na huu uzwazwa tulioukaribisha labda tutafika mwisho.mapema zaidi
 
Ulikua na uwezo wa kujibu bila kuhusisha mapenzi ya jinsia 1, sijui kwann mnapenda sana kuongelea. Lol
 
uko sahihi, ila hii ili apply zamani sana huko
mko kwenye uchumba(au urafiki) lakini hakuna kutiana mpaka ndoa (kuna mdau juu hapo katoa mfano mubashara wa kanisa la kilokole, then vs now)

miaka ya sasa sasa kuwepo kwa hizi digital wallet, kama ni ME , utaombwa pesa na KE, hii ni lazima,
na yeye kurudisha favor anakupa penzi
 
Sio kweli ubwiru ni hitaji la hisia na Sio hitaji la akili.
Mwili una namna yake ya kujicontrol hata usipofanya ngono maisha yako yote.
Sasa we utazame pono,upo iddle akili tupu kwann usiwaze ngono.
Ngono ni hitaji la hisia na Sio hitaji la akili kisayansi lipo hili.
Thus unaposanya ngono ni hisia zako ndizo usisimka na Sio mwili.
 
Hata zaidi ya hapo anakaa ni suala la maamuzi tu ya fikra
 
Ulikua na uwezo wa kujibu bila kuhusisha mapenzi ya jinsia 1, sijui kwann mnapenda sana kuongelea. Lol
mapenzi ya jinsia moja sio nadharia ni uhalisia,watu wanafanya ikiwa ni sehemu ya miamko ya miili yao.

huyo niliyemjibu alitaka kujenga hoja kwamba huko zilikoanzia imani watu wanaachana nazo,anasahau pia wanabeba maupuuzi mengi tu kwa kielelezo kile kile cha kuchanuka akili.

by the way kama umeanza kuchukia mapenzi ya jinsia moja mkuu,Yesu ahimidiwe,haikuwa kazi ndogo wana jf kukushawishi😂😂😂
 
Dini na Mila zinapinga watarajiwa kufanya ngono kabla ya ndoa ni kwa faida Yao.
Ipo hivi ukifanya ngono na mtu mnafungamana nafsi au upofu na mkishakuwa vipofu huwezi ona mapungufu yake,chongo utaita kengeza pengo mwanya,mtaingia kwenye ndoa kwa nguvu ya mfungamano wa nafsi na au uteja wa mapenzi sababu mmeunganisha na ngono.
Ukiingia kwenye ndoa baada ya miezi 3 uteja unaisha ndipo akili ufunguka na kuuona ukweli halisi,tabia halisi za uliye nae hapo ndipo huja majuto.
Niliiambiwa Tabia zake sikusikia utafanyaje Sasa na ushaingia kwenye ndoa,ndo maana ndoa ni vurugu, migogoro,watu wanaishi tu Bora liende,talaka nk,yote haya chanzo ni ngono kabla ya ndoa.
Ngono ifanyike labda baada ya kuchunguza sana na kuridhika sana.
Au hata mkiwa mnafanya ngono tumia wengine wakuchunguzie na usiyakatae mashauri Yao juu ya mtarajiwa wao kwa sababu wao wanaona na Sio vipofu kwa sababu hawajaunganishwa nae na ngono.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paragraph ya mwisho umepuyanga, mie nimesema ulikua Una uwezo wa kujibu bila kuhusisha mapenzi ya jinsia 1, na sidhani km inahusika ktk hii mada.

Wana JF wenyewe ndo km nyie hata pasipohusika mnazungumzia mapenzi ya jinsia 1, na hapo hapo mnishawishi mie niachanane nayo, bas itakua Comedy pro.

Huko mtaani/uraiani sahivi mapenzi ya jinsia 1 ni mahusiano officials, afu hapo hapo mie niache, km niliweza kumudu wakati ikiwa ni ajabu, ndo nishindwe sasa ikiwa ni kawaida.

Mie sijakataa kuzungumzia, ila kuongelea pasipo husika, labda km nyie wenyewe mnaojifanya kukataa ila kila wakati liko ktk fikra na mawazo yenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

UNAFIKI unawaumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…