Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paragraph ya mwisho umepuyanga, mie nimesema ulikua Una uwezo wa kujibu bila kuhusisha mapenzi ya jinsia 1, na sidhani km inahusika ktk hii mada.
si ni tafsiri kwamba hupendi kuyaona tena au😅
Wana JF wenyewe ndo km nyie hata pasipohusika mnazungumzia mapenzi ya jinsia 1, na hapo hapo mnishawishi mie niachanane nayo, bas itakua Comedy pro.
mapenzi ya jinsia moja lazima tuhubiri kwa nguvu na mali kwamba sio mpango wa Mungu.
Huko mtaani/uraiani sahivi mapenzi ya jinsia 1 ni mahusiano officials, afu hapo hapo mie niache, km niliweza kumudu wakati ikiwa ni ajabu, ndo nishindwe sasa ikiwa ni kawaida.
au sio😂
Mie sijakataa kuzungumzia, ila kuongelea pasipo husika, labda km nyie wenyewe mnaojifanya kukataa ila kila wakati liko ktk fikra na mawazo yenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
panahusika sana huhaelewa muktadha wa jibu lile.
UNAFIKI unawaumbua.
hamma unafiki.
 
Tuishi humu wakuu
 
Kuna kale ka wimbo ka king KIBA Mahali panasema "natamani kuwa single ila naupwiru unakaba koo" me ni nani nikatae that meanz kwenye mahusiano ya GF & BF Lazima kugusanisha kupo na that's normal maisha haya ni magumu usiyafanye yawe magumu zaid mkuu
 
Suluhisho ni uislam tu........uislam unasema mtu inabidi aoe na kuolewa punde tu anapobalehe,haya matatizo uliyoyasema huwezi kuyaona kwa watu wanaofuata uislam sahihi
 
It's the only one [emoji777]

He is the only one [emoji736]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
si ni tafsiri kwamba hupendi kuyaona tena au[emoji28]

mapenzi ya jinsia moja lazima tuhubiri kwa nguvu na mali kwamba sio mpango wa Mungu.

au sio[emoji23]

panahusika sana huhaelewa muktadha wa jibu lile.

hamma unafiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa!!!
 
[emoji3] Yan watu wamefikisha umri wa miaka 30+ wanaitana Girlfriend na Boyfriend et , huo ni ujinga kujipumvaza

Boyfriend na Girlfriend zone hyo ni ya age 29 kushuka chini bhn
 
Kwanza, Dini (Uislam) haijawahi kuweka umri maalum wa kuoa au kuolewa kwamba ni miaka 25 au miaka fulani. Haya ni mambo yaliyokuja hivi majuzi tu kinyume na Dini. Na wala sio kosa la dini, bali ni makosa ya watu tu kuacha muongozo wa Mola wao wakafuata matamanio yao. Hivyo, kusema umri rasmi wa kuoa ni miaka 25 au sijui 18 ni kiherehere chenu tu wala sio mafundisho ya Dini. Na Sharia itabaki vile vile kuwa kuzini ni Haraam.

Pili, Sheria za Dini (Uislam) ni sahihi na haiendi kinyume na maumbile ya asili ya MwanaAdamu na wala haiendi kinyume na uhalisia ,ukichunguza kwa uadilifu utagundua hili.

Mwisho, hao wazee wako waliokuwa wakibalehe tu wanapewa mke, utaratibu huo haujaja kuondolewa na Dini kama unavyodai. Hivyo kuwa muadilifu.
 

Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…