MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema.
Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke vipaumbele vyetu vizuri.
Kipaumbele namba moja kiwe kupata katiba mpya. Tupambane hata miaka 3 mfululizo bila kuchoka mpakaa katiba ipatikane, kisha tukimaliza hilo suala tugeukie suala la Mbowe kuhakikisha Mbowe anatoka.
Tusipofanya hivyo tutakuwa tunshinda mahakani kila siku mwisho wa siku 2025 inafika halafu hatuna katiba mpya tena, tunarudi tena kuanza upya 2026.
Maoni yaheshimiwe.