ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kazi ipo kweli, yaani nchi imejaa matatizo chungu mzima tena yenye kumuumiza hasa huyo mnyonge, leo una ona eti hoja ya kiswahili, ina maana sana? Ndio yale mwendazake aliwaaminisha kuwa eti hukumu ya kesi ikiandikwa kiswahili, hata bibi wa kijijini, ataielewa na hata hitaji wakili tena, na hiyo pesa atafanyia mambo mengine?
ingekuwa hivyo nchi zinazozungumza Kingereza, Kifaransa, Kijerumani, zisingekuwa na mawakili basi! Kwani lugha inayotumika kwenye mahakama zao kila mwananchi anaielewa!
Hayo ni maneno ya wanasiasa tulishawazoea!!elimu gani hii ya kumfanya mtu aji ajiri?kwa hiyo ikiwa kiswahili hao wachache watakaopata ajira serikalini/sekta binafsi watatumia kiswahili?kwenye utendaji kazi wao, Mfano aliyesoma IT, ?Kazi zipo nyingi sana ila ajira serikalini na kwenye taasisi binafsi ni chache, sasa sijui hoja yako ni ipi hapa maana elimu siyo lazima kuajiriwa. Education is all about training one’s mind to think! Come on!