Kwanini tutoe sadaka na matoleo kanisani badala ya kuwalenga wahitaji moja kwa moja?

Kwanini tutoe sadaka na matoleo kanisani badala ya kuwalenga wahitaji moja kwa moja?

Gidabed

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
519
Reaction score
982
Wakuu natumai mko salama.

Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu.

~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona hizo sadaka zikisaidia wahitaji.
 
Zinaenda kwenye uendeshaji wa kanisa na kuwalipa posho watumishi
 
Back
Top Bottom