Wakuu natumai mko salama.
Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu.
~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona hizo sadaka zikisaidia wahitaji.