Dhambi gani ndugu? Au na wewe ni muumini wa yale mafundisho ya dhambi ya asili???Hayasaidii chochote kwenye wokovu, lakini msalaba ndio ulitukomboa dhambini.
sijasema ni dhambi, ila namaanisha kutumia kama symbol au kutotumia haisaidii kukupa wokovu. Maana hata kanisa la mitume hawakuwa na mda wa kuanza kutumia alama flani kama utambulisho wao ila kwa kizazi hiki makanisa ni mengi so ndio maana kila kanisa lina design msalaba wake tofauti na mengine.Dhambi gani ndugu? Au na wewe ni muumini wa yale mafundisho ya dhambi ya asili???
This is overthinkingYesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo
HIzi alama ukiingia deep kuna maana nyingi zimebeba,This is overthinking
Ukiingia deep zaidi utagundua Yesu huyo huyo alikufa kwa ajili ya hao waliomtangulia kuwekwa msalabani.
Kwa hio alama ya msalaba its more of christ and what he represents.
Mbona kuna watu wanatumia mwszi na nyota je washafika huko kwenye nyota?
Hapo mwenye WOKOVU ndiyo nimekuuliza wokovu/salvation kutoka kwenye nini? Mtu anayeokolewa ni mtu ambaye amenaswa mahali fulani.sijasema ni dhambi, ila namaanisha kutumia kama symbol au kutotumia haisaidii kukupa wokovu. Maana hata kanisa la mitume hawakuwa na mda wa kuanza kutumia alama flani kama utambulisho wao ila kwa kizazi hiki makanisa ni mengi so ndio maana kila kanisa lina design msalaba wake tofauti na mengine.
Hata Mimi Kuna siku nikiwaza hivyo , mfano Baba yako kauliwa kwa panga na wewe ukaPribt tisheti lenye upanga ukawa kama unautukuza si itaonekana ulifurahia kifo chake ?Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Kwenye dhambi mkuu, maana tumenaswa kwenye ulimwengu wa dhambi so bado tuko kwenye process maana tunaweza tukaanguka tena!Hapo mwenye WOKOVU ndiyo nimekuuliza wokovu/salvation kutoka kwenye nini? Mtu anayeokolewa ni mtu ambaye amenaswa mahali fulani.
Inategemeana na nia ya mtu! maana mwingine labda ni kufanya kumbukumbu ya tukio hilo kwa watoto wake au wajukuu, so kila mtu anamtazamo wake.Hata Mimi Kuna siku nikiwaza hivyo , mfano Baba yako kauliwa kwa panga na wewe ukaPribt tisheti lenye upanga ukawa kama unautukuza si itaonekana ulifurahia kifo chake ?
Thanks for your contribution and you are right whe you say I am overthinking. That is a kind of man I am . Swali langu lilikuwa simple tu. Is the cross an essential sign for a community of believers or can we go without it? Maana sasa watu wamefikia mpaka kuabudu misalaba. Japo kanisa katoliki lina apologetical explanation za kuita hizi practices kama heshima/veneration , this is not exactly what the believers are doing when they stand before a crucifix or a statue of Virgin MaryThis is overthinking
Ukiingia deep zaidi utagundua Yesu huyo huyo alikufa kwa ajili ya hao waliomtangulia kuwekwa msalabani.
Kwa hio alama ya msalaba its more of christ and what he represents.
Mbona kuna watu wanatumia mwszi na nyota je washafika huko kwenye nyota?
Ulikukomboaje dhambini?je hakuna dhambi tena?Hayasaidii chochote kwenye wokovu, lakini msalaba ndio ulitukomboa dhambini.
Hii ndio hasara ya kuchelew kuzaliwa, huenda ungeenda kuwapinga...Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Dhambi ya kurithi kutoka kwa Ada na Eva au dhambi tuliyoitenda kwa akili yetu wenyewe. Kama tumekombolewa kutoka dhambi zinazotokana na maamuzi yetu wenyewe, why then do we continue to sin?? Can you see where the whole concept collapse???Kwenye dhambi mkuu, maana tumenaswa kwenye ulimwengu wa dhambi so bado tuko kwenye process maana tunaweza tukaanguka tena!