Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
uaongelea jambo kubwa sana usilolijuaKama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
“Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa."Imani bila akili/reasoning ni upumbavu. Mungu hataki tumuamini kwa namna hiyo.
Hakuna mwenye haki hata mmoja, so Kwa kumwamini YESU dhambi zako inahesabika amelipa yeye kwa kufa msalabani,Ulikukomboaje dhambini?je hakuna dhambi tena?
Wewe ni hatari,“Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa.
”
— 1 Wakorintho 1:19 (Biblia Takatifu)
Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Ndio. Yesu angeuwawa kwa kuchomwa moto basi leo hii MOTO ungekuwa ndio ishara yetu kubwa sisi Wakristo. Na kwamba maelfu ya watu walikwisha tundikwa msalabani katika Roman Empire lakini misalaba yao haikuwa ya upekee, inaonesha kuwa kifo cha Yesu juu ya Msalaba ni cha kipekee kama yeye alivyo.Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Yep! Naubeba kijasiri nasonga mbelee mabeleee......Acha Tupumzike Tu Tufanye Tunachokipenda Msalaba Mbele
Naam. Na kwa kupigwa yeye; sisi tumepona.Ndio. Yesu angeuwawa kwa kuchomwa moto basi leo hii MOTO ungekuwa ndio ishara yetu kubwa sisi Wakristo. Na kwamba maelfu ya watu walikwisha tundikwa msalabani katika Roman Empire lakini misalaba yao haikuwa ya upekee, inaonesha kuwa kifo cha Yesu juu ya Msalaba ni cha kipekee kama yeye alivyo.
Pamoja na hayo yote; kutenda dhambi ni hulka ya kibinadamu. Binadamu wote huwa na uelekeo wa kutenda dhambi ( All Humans are prone to sin). Ukifuatilia Mateso ya Yesu Kristo hadi Ufufuko wake utapata kuona kuna hitajio la mtazamo mpya kwamba ukitenda dhambi ni kama changamoto ambayo inakubidi upambane kuitatua i.e. Kutubu/Kuikataa dhambi/Kukusudia kwa dhati kuiepuka dhambi hiyo/hizo na ukifaulu kubadilika jumla(metanoia) ni sawa na kusema umefufuka kutoka mautini/hali ya kuwa mfu(wafu) na Yesu alituonesha kwa kufufuka kwake -japokuwa hakuwa na dhambi. Yesu alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kesi ya kubambikiziwa na utaona jinsi uendeshwaji wa kesi yake ulikuwa wa Fasta-Fasta (Kukamatwa saa 9 usiku na kesho yake saa 9 alasiri (Jioni) tayari hukumu ya kumsulubisha imeshatekelezwa yan ndani ya 24 hrs - kazi kwisha.Dhambi ya kurithi kutoka kwa Ada na Eva au dhambi tuliyoitenda kwa akili yetu wenyewe. Kama tumekombolewa kutoka dhambi zinazotokana na maamuzi yetu wenyewe, why then do we continue to sin?? Can you see where the whole concept collapse???
Kule jangwani wakati Wayahudi wakisafiri toka Misri kwenda Kanaan waling'atwa na nyoka, Mungu akamwambia Musa atengeneze sanamu ya nyoka aiwambe kwenye mti na itakuwa kila atakayeng'atwa na nyoka akimwangalia yule nyoka wa Musa kwenye mti alipona.Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Unataka kusema alama ya msalaba bila Yesu juu yake ni batili?Kule jangwani wakati Wayahudi wakisafiri toka Misri kwenda Kanaan walingatwa na nyoka, Mungu akamwia Musa atengeneze sanamu ya nyoka aiwambe kwenye mti na itakuwa kila atakayeng'atwa na nyoka akimwangalia yule nyoka wa Musa kwenye mti alipona.
Hivyo hivyo Yesu aliwambwa apale msalabani na Sisi Wakristu alama hiyo ya msalaba na Yesu juu yake imekuwa alama ya ushindi na uponyaji kama ilivyokuwa kwa Musa na nyoka
Dhambi ya adam na eva, kwanini YESU alibatizwa ?Dhambi ya kurithi kutoka kwa Ada na Eva au dhambi tuliyoitenda kwa akili yetu wenyewe. Kama tumekombolewa kutoka dhambi zinazotokana na maamuzi yetu wenyewe, why then do we continue to sin?? Can you see where the whole concept collapse???
Inategemea huyo baba yako aliuwawa kwa maana ipi. Yesu alikufa kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu. Hivyo ikiwa kifo cha baba kimeleta manufaa kwanini usi-print panga kwenye t-shirt?Hata Mimi Kuna siku nikiwaza hivyo , mfano Baba yako kauliwa kwa panga na wewe ukaPribt tisheti lenye upanga ukawa kama unautukuza si itaonekana ulifurahia kifo chake ?
"Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu." - 1 Kor 1:1...Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.