tunao wengi tu! Steven Wasira na hata Jakayo Kiwete ni comedians
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo wanachekesha)
kungekuwa na comedians like basket mouth, klint the drunk na wakina trevor noah.... i.e standup comedy
kunakua na matamasha watu wanahudhuri halafu kunakua na comedian anachekesha kwa kuzungumza tuu...
RAI KWA COMEDIANS, BE CREATIVE AND EXPAND THE SCOPE
Mawazo yako ni mazuri. Je ulishawahi kuwatafuta wasanii hawa (kama kweli uko serious) na kutoa ushauri huu? sina hakika kama hawa walengwa ni members wa JF!
kwa Tanzania yupo Evans Bukuku
Hi All
Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo wanachekesha)
kungekuwa na comedians like basket mouth, klint the drunk na wakina trevor noah.... i.e standup comedy
kunakua na matamasha watu wanahudhuri halafu kunakua na comedian anachekesha kwa kuzungumza tuu...
RAI KWA COMEDIANS, BE CREATIVE AND EXPAND THE SCOPE
stand up comedy Seki ameshawai kuandaaa na ilifanya vizuri kiasi,na ndipo alipolipata kundi la ze komedy....
tatizo sio vipaji tatizo ni uwekezaji kwenye hii game watu bado ahwajaistukia kama ni dili...
Bukuku anafosi tu game...ana eksiposure ya ivi vitu ila talent ya kumchekesha mtu ajajaaliwa kabisa...............
nimeshaudhulia baadhi ya show zake,anatia huruma jinsi anavyolazimisha watu wacheke....
Mmhh mi naona na kipaji pia kinachangia,
Comedians wengi wa Tz wanaforce game, ukiangalia futuhi, vituko show, ze comedy na origino comedy.....
Utaona wanatumia nguvu nyingi sasa kuchekesha..
TALENT KWANZA, VINGINE VINAFUATA.
arifu bukuku sio creative kabisa.....mfano kakopi kubamba ambayo ipo kenya kama ilivyo....hamna kitu pale ni ***** mtupu....Asante sana kaka nashukuru umeliona hili mimi huna nakeleka sana futuhi ( comedian) wa tanzania sio wabunifu kabisa, wale Original komedi wakati wanaanza mwanzo kabisa kabla ya kujiunga EATV walikuwa wakifanya hivi sijui nini kiliwasibu! lakini pia je ni watanzania wenyewe wako tayari? Nimesikia kuna jamaa anaitwa Bukuku huwa anafanya hivi pale kwa Lady Jay Dee ( Nyumbani Lounge)! wabadilike waone jamaa wale wa Nigeria kina AY wanavyopiga pesa mbaya!
arifu bukuku sio creative kabisa.....mfano kakopi kubamba ambayo ipo kenya kama ilivyo....hamna kitu pale ni ***** mtupu....