LGE2024 Kwanini uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unafanyika kwenye makaratsi na siyo kidigitali? Ulinzi wa taarifa unahakikishwaje?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu salam,

Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi utafikiri tupo mwaka 47 na tunaambiwa mfumo wa kidigitali upo tayari?

Kwanini watu waandikishwe kwenye makaratasi halafu baadaye zije kuingizwa kwenye mfumo huo wa kidgitali? Kwanza hapa ni kutengeneza kazi mara mbili na kutumia kufuja kodi za wananchi bila ulazima, ila kubwa zaidi ni kutengeza mazingira ya wizi ya kura.

Sehemu nyingine huko wameshashishikwa waandikishaji kuanza zoezi mapema kabla ya muda wala uwepo wa mawakala, halafu tena mje mtuambie zoezi litakuwa huru na haki wakati matobo ni mengi hivi.

Soma Pia:
Lakini pia data za watu zinalindwaje katika mfumo huu? Hilo daftari anakaa nalo nani baada ya kuandikisha? Waandikishaji wamepewa elimu yoyote kuhusu kulinda taarifa na faragha za wananchi wanaokuja kujiandikisha?

Mengi sana yanaweza kufanywa kwenye taarifa hizi, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi mpo?
 
Ndio kura tayari umepiga hapo
 
Nani kakwambia taarifa zikiwa kidigitali ndio zinakuwa secure?
 
This time sina hata mood ya kujiandikisha, maana baada ya kuona mchakato Kwa ujumla jinsi ulivyo...stim imekata kabisa
Wakuu salam,

Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi utafikiri tupo mwaka 47 na tunaambiwa mfumo wa kidigitali upo tayari?

Kwanini watu waandikishwe kwenye makaratasi halafu baadaye zije kuingizwa kwenye mfumo huo wa kidgitali? Kwanza hapa ni kutengeneza kazi mara mbili na kutumia kufuja kodi za wananchi bila ulazima, ila kubwa zaidi ni kutengeza mazingira ya wizi ya kura.

Sehemu nyingine huko wameshashishikwa waandikishaji kuanza zoezi mapema kabla ya muda wala uwepo wa mawakala, halafu tena mje mtuambie zoezi litakuwa huru na haki wakati matobo ni mengi hivi.

Soma Pia:
Lakini pia data za watu zinalindwaje katika mfumo huu? Hilo daftari anakaa nalo nani baada ya kuandikisha? Waandikishaji wamepewa elimu yoyote kuhusu kulinda taarifa na faragha za wananchi wanaokuja kujiandikisha?

Mengi sana yanaweza kufanywa kwenye taarifa hizi, Tume ya Ulinzi
 
Kwa namna mambo yanavyoendelea uko Chamani...CCM inapaswa kuombewa kabisa maana Kuna fukuto kubwa Sana ndani ya chama kuanzia ngazi ya chini Hadi juu...time will tell.
 
Back
Top Bottom