Kwanini ubakaji unaendelea?

Kwanini ubakaji unaendelea?

Joined
Sep 11, 2021
Posts
10
Reaction score
5
Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe vizuri ukinyimwa tafuta mwingine.

Wengine wanafikia hatuna ya kubaka watoto wadogo au vizee, hii ni dalili tosha kuwa unatumia bangi!
 
Hakuna namna unaweza ku~abolish ubakaji hata uweke adhabu kali namna gan as long as nguvu za kiume zipo na wanawake wapo....hakuna jipya chini ya jua wakuu!
 
Uroho wa madaraka,Ubakaji,wizi,ushoga,usagaji,uzinzi,Rushwa,Dhulma na hayo mengine Hata uweke sheria gani Maadam ni binadamu watafanya tu iwe kwa siri au kwa dhahiri ni vitu ambavyo vilikwepo na vitakwepo ndio maana sheria ziliwekwa na Muumba kwa kujua hizo ni tabia za binadamu..........huo ni Mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom