ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Diwani ni Kiongozi wa ngazi ya Serikali za Mitaa,iweje awe sehemu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya Taifa?
Madiwani ni kama Wabunge wa ngazi za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ,sasa iwaje tuwe tunawacuagua uchaguzi Mkuu.
Binafsi Huwa siwajua wagombea udiwani Kwa ngazi ya kata na Huwa nime concentrate Kwa Rais na Wabunge.
Pia kura 3 ni burden kwa.mpiga kura ,kura 2 zinatosha Kwa Kila uchaguzi.