fahad clay
Member
- Jul 25, 2012
- 35
- 2
Vp ndugu umemtokea mtu mwenye midevu nini ukidhani ka shori?
cjawai na haitatokea! Wengi nazani wana jinsia mbili km majini mahaba!
Kuna mibaba inahamu sana ya kutongozwa na midume. Jane00000 uko wapi?
Za leo?i hope wote ni wazima wa afya...nashindwa kuelewa binadamu wa siku hizi tunafikiria nini.Siku hizi kuna tabia ambayo imekua sugu tena inakera.Unakuta watu kwenye mitandao ya kijamii na internet wanajibadilisha jinsia ili wachezee akili za watu...Tatizo hili limekua sugu haswa kwa jinsia ya kiume ambapo wengi hujifanya wanawake.Je, nauliza nyie wanaume mnataka kuolewa? Ama kazi ya kupinda mgongo mnaipenda?mnaona wanawake wanafaidi mpaka mnataka muwasaidie?mi naona ni ukosefu wa akili na ulimbukeni!

hata mimi naona!hizi hasira sio bure!kuna issue imekupata sio bure.
Hizi tabia hata mimi huwa nazichukia sana, sijui na huwa sielewi huwa wanajisikiaje wanapotumiwa meseji za kutongozwa kutoka kwa wanaume wenzao? Hawajisikii kichefu chefu? Hawajioni wanadhalilisha nafsi zao?
Afu unakuta nyumbani ana mke na watoto, kwenye mitandao ya kijamii anajiita mwanaasha khaaa! jamani mambo mengine ni kujitafutia laana..
cjawai na haitatokea! Wengi nazani wana jinsia mbili km majini mahaba!
duh...jini mahaba wana jinsia mbili??..
mkuu inavoonekana una experience nao eh??jaribu ukutane nao!