Kwanini udanganye watu jinsia yako?unafaidika na nini?

Jamani shida iko wapi??

Kila mtu analengo lake la kujiunga na mitandao hii ya kijamii.
Wee ukiingizwa mkenge songa mbele, kulia lia ni kukosa ukomavu tu.

hata watu tuna viungo vya sawa lakini hatufanani, tungefanana kama kumbi kumbi maisha yangekuwa so boring!
 

ukiona hivyo ujue boga hilo... linatafuta duduz
 
Ha ha ha ha, katuma M-Pesa, laki mbili labda lol

hiyo ndo hasara ya kuchat na ku sms,

ikipewa no ya sim uwe unapiga randomly utagundua kitu kabla ya kutuma M-pesa.

pole kaka mpiganaji hakati tamaa, hilo ni somo songa mbele!!!
 

Tatizo watu wanakuja na mengi
Kwani unashindwa nini kuchangia mada na kusepa?
Shida ya kuPM kila avator ya kike ndio hii..
Mtatongoza hadi wake zenu humu!..lol!
 
Kama mimi ninavyojifanya kibinti kumbe ni mbaba na ndevu zangu! Lol
 

ndio ndio mpinzani, na wengine furaha zao ni kuchezea akili za watu. Tunapunguza stress kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…