Kwanini UDART haitangazwi mufilisi ili ipatikane suluhu ya usafiri jijini Dar es Salaam?

Kwanini UDART haitangazwi mufilisi ili ipatikane suluhu ya usafiri jijini Dar es Salaam?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,109
Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa.

Kwa sasa wananchi wanapata adha kubwa ya usafiri kiasi ukipita asubuhi vituo vya mwendokasi vimejaa abiria ambao husubiri ufsafiri hadi masaa2 kituoni. Kama ikitangazwa mufilisi basi watu wengine wenye uwezo hasa wa ndani ya nchi wapewe hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom