Kwanini UDSM hakimo kati ya vyuo vinavyotangazwa na website ya TCU?

Kwanini UDSM hakimo kati ya vyuo vinavyotangazwa na website ya TCU?

CHEKEA

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Ni muda kidogo tokea nianze kujiuliza swali hili, nilipokosa majibu ndio nimeamua kulileta kwenu kwa msaada zaidi.

Tiririkeni majibu yenu wajuzi.
 
DUCE. Ni branch ya UD na Hiyo ipo kwenye website ya tcu inatosha ku represent UD yote
 
Nadhani ni vema ukajiuliza dhumuni la kujitangaza nini? jibu ni kujilikana, sasa UDSM tayari inajulikana sana hata baadhi wa wasiofuatilia mambo ukiwaambia ninasoma "chuo kikuu" watadhani ni UDSM wakati kuna vyuo vikuu vingine. Some people say that UDSM is The University while others are Universities of ............., without filling the blank you won't be understood.
 
Back
Top Bottom