Mimi ninashangaa sana, nchi za wenzetu wanapenda sana kuwashirikisha wasomi katika michakato mbalimbali ya kuleta mabadiriko katika dola, lakini cha kushangaza sisi hapa kwetu ni tofauti kabisa, naomba mnikumbushe ni lini Kikwete ameenda UDSM kuhutubia jambo na kuomba maoni ya wasomi?, Sana sana nakumbuka serikali yake iliandaa mchakato wa kuwaandikisha kama wapiga kura katika maeneo ya vyuo na kuhakikisha wakati wa upigaji kura wanakuwa hawapo maeneo hayo. Serikali iache kuwaogopa wasomi izitumie vizuri changamoto wanazozitoa iachane na ule mning'inio wa kushangiliwa kwa kila kitu na wazee vijijini ambao wanaamini mabadiriko ni uvunjifu wa amani japo baadhi hata ukiwauliza amani inamaanisha nini hata hawajui.
Hii ilifanyika lini? source yake ikoje?
Mleta mada toa details kama mana mada yako ni kama wote tulikuwepo

Tafuta mwananchi ya leo ipo online... ji2me kijana c kila utafuniwe..
mbona nimeonyesha ni gazeti la mwananchi uk wa 2?