Nilishaenda pale nikaambiwa sheria za Tanzania haziruhusu kuuza kiungo cha mwilinenda muhimbili ukaonane na mganga mfawidhi na uhakika utatoka na jibu
Ulitoa kitu kidogo? Au uliongea public au ulimng'ata sikio?Nilishaenda pale nikaambiwa sheria za Tanzania haziruhusu kuuza kiungo cha mwili
Niliulizia tu kama hiyo huduma ipo ndio wakanijibu hivoUlitoa kitu kidogo? Au uliongea public au ulimng'ata sikio?
piga huduma kwa wateja watakusaidiaduka lipi niende nikalangue