Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
KWARE HASA JUMBO WANAWEZA CHUKUA NAFASI YA KUKU.
Kware wanaweza Chukua nafasi ya kuku kwenye swala la kitoweo, Ukilinganisha na gharama za kutunza kuku basi Kware wanakuwa Optional nzuri sana.
KUKU 100 wanakula Kilo 13 kwa siku hao ni kuku wazima.
Kware 100 wanakula 3 kwa siku.
Hivyo basi Kware 1000 watakula kilo 30 kwa siku wakati Kuku 1000 watakula kolo 135.
Kware wana mature kuliwa ndani ya siku 45 hadi 60. JUMBO hufikia gram 450.
Unaweza Fuga Kware wa Nyama Jumbo na still wakafanya kazi zote za kuku kama Kupikia Pilau, Wali, Biliani, Supu, na kadhalika.
Kwa hisani ya Go-insect