Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Jun 3, 2022 #1 KWARE HASA JUMBO WANAWEZA CHUKUA NAFASI YA KUKU. Kware wanaweza Chukua nafasi ya kuku kwenye swala la kitoweo, Ukilinganisha na gharama za kutunza kuku basi Kware wanakuwa Optional nzuri sana. KUKU 100 wanakula Kilo 13 kwa siku hao ni kuku wazima. Kware 100 wanakula 3 kwa siku. Hivyo basi Kware 1000 watakula kilo 30 kwa siku wakati Kuku 1000 watakula kolo 135. Kware wana mature kuliwa ndani ya siku 45 hadi 60. JUMBO hufikia gram 450. Unaweza Fuga Kware wa Nyama Jumbo na still wakafanya kazi zote za kuku kama Kupikia Pilau, Wali, Biliani, Supu, na kadhalika. Kwa hisani ya Go-insect
KWARE HASA JUMBO WANAWEZA CHUKUA NAFASI YA KUKU. Kware wanaweza Chukua nafasi ya kuku kwenye swala la kitoweo, Ukilinganisha na gharama za kutunza kuku basi Kware wanakuwa Optional nzuri sana. KUKU 100 wanakula Kilo 13 kwa siku hao ni kuku wazima. Kware 100 wanakula 3 kwa siku. Hivyo basi Kware 1000 watakula kilo 30 kwa siku wakati Kuku 1000 watakula kolo 135. Kware wana mature kuliwa ndani ya siku 45 hadi 60. JUMBO hufikia gram 450. Unaweza Fuga Kware wa Nyama Jumbo na still wakafanya kazi zote za kuku kama Kupikia Pilau, Wali, Biliani, Supu, na kadhalika. Kwa hisani ya Go-insect
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Jun 3, 2022 Thread starter #2 wali kware😅😅😅
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Jun 3, 2022 #3 Unawafugaje mkuu hawawezi toroka halafu vipi kuhusu sheria isijekuwa nao wako kwenye orodha ya nyara za serikali
Unawafugaje mkuu hawawezi toroka halafu vipi kuhusu sheria isijekuwa nao wako kwenye orodha ya nyara za serikali
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Jun 3, 2022 #4 Kwahio tusifuge kuku?
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Jun 3, 2022 Thread starter #5 KISIWAGA said: Unawafugaje mkuu hawawezi toroka halafu vipi kuhusu sheria isijekuwa nao wako kwenye orodha ya nyara za serikali Click to expand... Mengineyo fuatilia Youtube. kuhusu vibali bila shaka vipo maana huyu hajawa domestic bird
KISIWAGA said: Unawafugaje mkuu hawawezi toroka halafu vipi kuhusu sheria isijekuwa nao wako kwenye orodha ya nyara za serikali Click to expand... Mengineyo fuatilia Youtube. kuhusu vibali bila shaka vipo maana huyu hajawa domestic bird
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jul 14, 2024 #6 Naomba kujua wapi naweza kupata hao Kware
ngoja ngoja JF-Expert Member Joined Jun 20, 2024 Posts 673 Reaction score 1,526 Jul 14, 2024 #7 Kware
B Babuu Wesaki Kilauwo JF-Expert Member Joined Jul 10, 2024 Posts 357 Reaction score 488 Jul 14, 2024 #8 Wakutembelee wapi.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jul 14, 2024 #9 Kwenye vibali Sasa hapo !!Hadi ukipate ndio kazi sasa!