Kwanini Uganda is irrelevant?

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Why Watanzania na Wakenya wanajiona kama ndio wanarun East Africa??m

They rarely scarcely talk about us. Its like we don't exist. I feel shamed. Halafu wakija Uganda wanajiona kama wajanja sana wanakuja kututoa ushamba.

For your information na sisi ni sovereign state with our affairs.

Au kwakuwa hatujuiKkiswahili fasaha?
I beg to differ.

Au kwakuwa wao wana vivutio vya utalii vingi kutuzidi?
I beg to differ.

Au kwakuwa wao wana uchumi mkubwa kuliko sisi?
I beg to differ.

Au kwakuwa wanatuzidi elimu?
I beg to differ.

Matter of fact chuo kikubwa East Africa kipo Uganda that is Makerere University.

Top that Kenya and Tanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe mganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na watoto wazuri wako kwa mzee PK Rwanda.

Hayo ni mawazo yako sisi wabongo tunawapenda wote. Naona umeamua tu kuchezea bando kama kuna fursa tunskuja kwenu na wewe karibu kwetu.

Ila kusema kweli mnanichanganya hivi UBC wanazungumza lugha gani ile.

Ni sawa na sisi Tz tuzungumze nyakyusa au kichaga TBC1 au hiyo lugha wanaongea UG wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ni kiganda,,huku tuna lugha tatu kiganda,kiswahili na English sema juu ni kiganda...ila kinataka kufanania na kihaya na kisukuma kidogo....huwa tunaelewana vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtanganyika uliyejivika uganda una shida sana
 
Nina nyimbo nyingi za Judith Babirye ile ni kiganda pia hii ya Xmas ya Judith kali sana hii ngoma ila lughasasa ? sielewi lugha napenda midundo na sauti yake anaimba vizur sanai na kama slow rumba fulani.

Nadhani angeimba kiswahili kama chameleon angetoboa huku bongo kama akina Mercy Masika wa Kenya.

Nilikuwa na cheki pia mahojiano ya Bob wine. Alimchana sana Muzee. Aidha media ya huko wako strong au serikali wamedharau sidhani huku kwetu angeruhusiwa Zitto au Mbowe kumchana JPM namna ile.

Ila kitu nichoshangaa Spika wenu wa Bunge yuko kama Mungu sasa. Ana nguvu sana.

Yaani hatoi taarifa kwa mbunge kwamba muda umeisha amalizie point, yeye anazima tu mic ya msemaji bila taatifa yeyote.

Kwa hiyo ana uwexo wa kukuachia uongee muda gani utakuta mic iko off nz wabunge wengine utakuta wanacheki kama mic ina tatizo kumbe kibosile kazima kule kwa hilo poleni sana.

Ndungai angalau anatoa taatifa hata kama ni kwa Tundu lissu au Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...haaahaaa nana wabongo wanabisba wenye tu. Ka nve wannu embozi za malwa zintamiza
 
Haya zisalimie tamutamu za kabalagala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…