Kwanini ujasiriamali ni sawa na yalivyo mapenzi?

Kwanini ujasiriamali ni sawa na yalivyo mapenzi?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Huwa kuna ufanano fulani kati ya Ujasiriamali na Mapenzi, ufanano wao ni kwamba Mapenzi hayafundishwi, hakuna chuo Duniani cha kufundisha mtu kupenda mtu.

Kwamna unaingia Darasani kufundishwa jinsi ya ku fall in love hiyo kitu hakipo.

Duniani kuna Chuo cha kufundisha mtu jinsi ya Kudumu kwenye mapenzi, jinsi ya kuepuka Migogoro ya mapenzi.

Ujasiriamali nao hakuna chuo Duniani cha kufundisha mtu kuwa Mjasiriamali, unavyo viona ni njia za watu kuishi kwenye hii Sayari. Yaani ili uisji hii sayarai unapaswa juwa na akili nyingi na ndo kinacho fanyika.

Duniani kuna vyuo vya kufundisha entreprenership skills.
- Marketing skills
- Sales
-Business planing
-Marketing planing
-Customer care
-How to grow
Hizo hapo ni Entrepreneurship skilla au Busibess skills na sio kozi ya kufanyamtu kuwa mjasiriamali.

HAKUNA CHUO DUNIANI KINACHO FUNDISHA
- confidence
-Commitment,
-Risk taker
-Sprit

NDO MAANA UNAONA KUNA WATU WANA SIJUI DEGREE ZA UJASIRIAMALI ILA HAWANA HATA KIBANDA CHA KUUZIA VOCHA.

Ili uwe mjasiriamali huhitani kazi wala elimu ila ili ufanye vizuri kwenye ujasiriamali unahitaji elimu
 
wewe mapenzi yanafundishwa

labda kusex.

ujasiria unafundishwa

labda kuzitumbua hela.
 
tuanze na wewe una nini? ikiwa unamcheka graduate hana duka la kuuza vocha
 
Mkuu endelea kushushaa nondo tupo tunaofatilia asante
 
Back
Top Bottom