Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Katika miezi ya nyuma ujenzi wa SGR uliendelea kwa kasi kubwa hapa Mwanza lakini kwa siku za karibuni ujenzi huu umesimama hatujui sababu ni nini.

Ni vema ujenzi huu ukaanza tena ili na sisi watu wa Mwanza kwa miaka michache ijayo tupate huduma ya treni ya mwendo kasi.
 
Unataka tu kusema mmetengwa baada ya mkombozi wenu.
 
Katika miezi ya nyuma ujenzi wa SGR uliendelea kwa kasi kubwa hapa Mwanza lakini kwa siku za karibuni ujenzi huu umesimama hatujui sababu ni nini.

Ni vema ujenzi huu ukaanza tena ili na sisi watu wa Mwanza kwa miaka michache ijayo tupate huduma ya treni ya mwendo kasi.
Tutaleta Polisi wakiwa na magari ya DELAYA kuahkikisha ujenzi unaanza tena, wachina wasitutanie
 
Back
Top Bottom