Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
Tanganyika, Rwanda,Burundi,Namibia,Cameroon na Togo ilikuwa ardhi ya Mjerumani.Nani alikuambia ni Tanganyika tu ndio ilitawaliwa na Ujeruman?
ni tajiri ndio maana hata ukimwi uliletwa tgnk na nchi za kaliba hiyo kama, botsn, zam, ango, moza! Maksud ili mfe waje!
mzee hata kwa mtoto wa la saba hapo kwenye red atapinga tu!! japo histry sijui ila huwez nidanganya...Wadau hili swali linaumiza sana.
Naombeni mwenye kujua,wakati waakoloni wanaligawa bara la afrika ujerumani ndiyo lilikuwa taifa kubwa na mkutano wa kugawa ulifanyika kwao na wao ndio walikuwa na sauti kubwa kuliko yeyote.
Sasa ni kwaa nini hawakuhitaji mataifa mengi na badala ya ke wakaichukua tanganyika tu?kwa nini isiwe somalia,jibout,kenya wala msumbiji?