Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
Kwanini Men ukiwa unasafiri mkoa mmoja kwenda mwengine na imetokea umekaa siti moja na Pisi/Manzi asilimia kubwa lazima utamtongoza either safarini au baada ya safari.
Mimi kuna Pisi moja nyembamba nilikuwa naionaga Cafteria chuoni kwa mbali kama navyowaona wengine tu alikuwa mwaka wa kwanza mimi wa pili kuna kipindi tumemaliza UE inabidi nisafiri hiyo likizo nilikuwa nimeoanga kubaki tu chuoni maana likizo fupi ya Week mbili baadae nikasema ngoja nisepe Tickek yenyewe nikaBook kimazabe tu juukwaju konda akaniambia gari linasepa sio muda kutoka sasa kufika Stend nikapewa ticket gari imejaa ndio inataka kung'oa kufika kwenye siti yangu yangu(Ya dirishani) aisee nikaona ile Pisi naionagaonaga Cafteria imekaa kwenye siti yangu nikaona hii si Jackpot aisee mimi Ushetani wangu upo kwenye pisi nyembamba ile pisi ni modo nikamwambia 'Hapo' akawa anapisha nikasema 'kaa tu' kiufupi ilikuwa Safarini nilimfanya A-enjoy safari toka hapo Safari zote tulikuwa tunakata ticket pamoja mpaka Dar kifupi ikawa Pisi yangu mpaka sasahivi 😂😂😂😂
Story nyengine juzijuzi tu nimesafari kishikaji nimeshangaa lile gari lijajaa kabisa ndio linasanya abiria mimi nikaenda kukaa siti ya dirishani nyumanyuma nimechomeka Earphone nakula ngoma ya Fireboy_Vibration nimeegemea kioo naangalia kwanje Civilians wanavyopambana na maisha nasikia fakachafakacha kugeoka naona Pisi nyeupe hivi inajiseti ikae siti ya pembeni yangu nilichoshangaa Siti za dirishani Empty kibao konda alikuwa anakata ticket tu siti unachagua yakukaa nikaona uyu kamaindi Flag nini nikapunguza Voice ya music endapo akisalimia niitikie hakusalimi safari imeenda mpaka chalinze hakuna kusemeshana nikasema wee not for me nikatafuta cha kuanza nikamuuliza 'Bado mbali kufika' basi kuanzia hapo ni story hadi tunafika story ni ndefu ila ile pisi ni kali sana ina tabasamu tamu baada ya safari mawasiliano yalizinguazingua ila nina Contact zake.
Weka story yako ya hizi pisi.