Kwanini ukimtongoza mwanamke akakukataa mnakuwa maadui?

Kwanini ukimtongoza mwanamke akakukataa mnakuwa maadui?

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
232
Msaada jamani! Tueleweshane, hata mie binafsi sifahamu chanzo!! Tiririkeni basi wengine tujifunze!!!
 
Msaada jamani!! Tueleweshane, hata mie binafsi sifaham chanzo!! Tiririkeni basi wengine tujifunze!!!
Wee ulitaka muendelee kuwa marafiki akusaidie nini au ili ugundue nini cha ziada wakati tyari analijamaa lake linalomsugua.

Ukiendekeza urafiki na mke/demu la mtu, utajaletewa kesi za ajabu ambazo huhusiani nazo.

Tafuta mke wako, mnaependana nae na mtakaeelewana nae vzr.

Maranyingi wanawake hawana msaada wowote isipokuwa mkeo, mama yako na nduguzo basiii.
 
Back
Top Bottom