Kwanini ukiona mtu anapiga mwayo/yawning lazima na wewe utapiga?

Kwanini ukiona mtu anapiga mwayo/yawning lazima na wewe utapiga?

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,730
Habarini za asubuhi wapendwa.
Napenda kujua kuna nguvu gani katika kupiga Miayo/yawning.
Nafahamu miayo inamaanisha uchovu/usingizi sasa kwann ukimuona mtu anapiga mwayo lazma na ww utaiga haijalishi kwa kupenda au kutopenda?
Ni siwe muongo nimepiga miayo mara tatu wakati naa upload hii picha....
Majibu yawe
1479188443075.jpg
 
Hiyo ni kweli kabisa wacha waje wataalam watufafanulie hili.
Kwa taarifa tu sio binadamu pekee yake, hata mbwa. Ukipiga miayo mbwa wako au aliyekuzoea akiona naye huwa anapiga.
Dahhh huu utakuwa ugonjwa mbaya sana huu
 
Ndio naskia leo hiki kitu ngoja nifanye utafiti
 
Sijui ni kwanini ila na mimi nmepiga mwayo nilipotazama hiyo picha.
 
Kiwanda cha Uongo hiki kiingizwe kwenye record ya viwanda vya awamu hii...

Utafiti wa Vichaa una ukweli wake sasa ndio nimeona
 
Hii ni kweli kbs ishanitokea mara nyingi tu hata nilivyosoma hicho kichwa nimepiga mwayo kufungua kuona hiyo picha nimegongesha mwengine duh! sijui kuna uhusiano gani hapo
 
Hii ni kweli kbs ishanitokea mara nyingi tu hata nilivyosoma hicho kichwa nimepiga mwayo kufungua kuona hiyo picha nimegongesha mwengine duh! sijui kuna uhusiano gani hapo
hahaahhaha
 
Kiwanda cha Uongo hiki kiingizwe kwenye record ya viwanda vya awamu hii...

Utafiti wa Vichaa una ukweli wake sasa ndio nimeona
basi vichaa tupo wengi ww peke yako ndo mwerevu....
 
Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
 
Back
Top Bottom