johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
HahqhhahahaNimesoma tu hapa na kuangalia hii picha,na mimi nimepiga mwayo.
Dahhh huu utakuwa ugonjwa mbaya sana huuHiyo ni kweli kabisa wacha waje wataalam watufafanulie hili.
Kwa taarifa tu sio binadamu pekee yake, hata mbwa. Ukipiga miayo mbwa wako au aliyekuzoea akiona naye huwa anapiga.
Nimesoma tu hapa na kuangalia hii picha,na mimi nimepiga mwayo.
Utakuwa na mapungufu kama binadamu wa kawaidamimi mbona hua sipigi mwayo kwa kumwangalia anaepiga?
Hahhahhaha mungu anakuona ujue....Hata me nilipotazama picha tu Mwayo umetaka kuja kwangu nimeuzuia kwa nguvu .
wala usijiulize sana ndo desturi ya hii kituSijui ni kwanini ila na mimi nmepiga mwayo nilipotazama hiyo picha.
hahaahhahaHii ni kweli kbs ishanitokea mara nyingi tu hata nilivyosoma hicho kichwa nimepiga mwayo kufungua kuona hiyo picha nimegongesha mwengine duh! sijui kuna uhusiano gani hapo
basi vichaa tupo wengi ww peke yako ndo mwerevu....Kiwanda cha Uongo hiki kiingizwe kwenye record ya viwanda vya awamu hii...
Utafiti wa Vichaa una ukweli wake sasa ndio nimeona
Utafiti wako fanya juu chini uuandike kwenye kitabu uuze...basi vichaa tupo wengi ww peke yako ndo mwerevu....
Hahahahhaaa yote heri?Utafiti wako fanya juu chini uuandike kwenye kitabu uuze...