DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Pesa au kazi ni njia nzuri sana ya kumkutanisha mtu na watu mbali mbali hata ambao ulkua huwategemei watakuona wa maana sana...Ukipata mchongo fulani, simu zinaanza kuita kwa Kasi.
Hivi kwanini?
Mfano miaka mitano iliyopita nilikuwa napokea simu hazizidi 2 lakini leo napokea simu 90+
Ulikuwa gizani huonekani sasa uko kwenye mwanga kila jicho linakuonaUkipata mchongo fulani, simu zinaanza kuita kwa Kasi.
Hivi kwanini?
Mfano miaka mitano iliyopita nilikuwa napokea simu hazizidi 2 lakini leo napokea simu 90+