Kwanini ukitafuna dagaa na karanga mbichi unapata ladha ya kushangaza?

Kwanini ukitafuna dagaa na karanga mbichi unapata ladha ya kushangaza?

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
31,415
Reaction score
38,761
Wadau,

Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)?

Embu jaribu leo kisha nawe ushangae.

Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa asubuhi, maana unaweza nifungulia kesi, kazi kwako.
 
We danganya watu hahahaaa watasimulia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mlaji wa dagaa huyo huku akichamvua
Uroho ndio uliokufanya ukagandua.

Pole sana kwa ulaji wa dagaa wabichi
 
Hao dagaa changanya na sumu ya panya.
 
Back
Top Bottom