Kwanini ukiwa mzururaji wa kutembea kwa miguu usiku utakamatwa na polisi haraka sana kuliko mzururaji anayetumia gari?

Kwanini ukiwa mzururaji wa kutembea kwa miguu usiku utakamatwa na polisi haraka sana kuliko mzururaji anayetumia gari?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Hawa wote ni wazururaji tofauti yao huyu mmoja anazurura akitumia miguu yake huku huyu mwenzie yupo ndani ya gari.

Hawa wote ni wazururaji promax.

Kama uzururaji ni uhalifu basi hawa wote ni wahalifu.

Sasa inakuwaje huyu mwenda kwa miguu anashtukiwa na kutupwa kwenye karandinga chap wakati huyu mwenzake anayeendelea kufanya kosa hilohilo akiwa chomboni?

Umewahi kukamatwa kwa uzururaji wewe?
 
Back
Top Bottom