Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
[I said:Wakumwitu;1825704]Kuna ma girl friend wengine wanakela jamani. Yeye kila ukikutana naye anachowaza ni kupewa hela. Hata kama umempa jana leo akija atalia hana hela. Mpaka wakati mwingine unajiuliza huyu anamatatizo gani? Yaani haoni aibu uso mkavu kama wa mbuzi. Na gear yake sasa yaani ile hela umenipa jana nimefanya hivi na vile leo yaani sina hela ya matumizi kabisa. Hapo anatarajia sympathy yako umpatie tena. Usipompa anauna na simu hupigiwi, au hata message hatumi. Ukimpigia umuulize kulikoni. Utasikia si nilikuambia toka jana sina hela. Kweli wanaume wakati mwingine tunageuzwa ATM, hata ya NMB ina afadhali. Kazi kwelikweli[/I]
Wa hivyo GF mbona anaonekana yupo kibiashara zaidi? Mie nisingewezana naye kwa kweli maana tabiya hiyo ningeikemea mapema zaidi. Na zaidi huyo atakuwa hakubendi bali kukutumia. Inamaana kama hauna basi msijuane, wa nini sasa unless na wewe unaye kibiasha zaidi.
Ndio beijin hiyo MR usijishangaeMbona mie nampa haka kajamaa hivi kumbe yeye ndo anatakiwa atoe :help::help::help:
mwanakijiji kumsaidia gf ni part ya majukumu ya mwanaume anaekwepa kufanya hivyo labda ni kwa sababu hana kabisa au ubahili au uchoyo.
Hili neno WiseLady!ukiona wa hivyo na wewe stuka! Mtu gani amekalia kuomba kila siku,sikatai kuwa matatizo hayabishi hodi but not to that extent!na kwa nini anune!enzi anazozisemea mwanakijiji wasichana walikuwa hawana demand ya hivyo lkn due to moral changes things now is upside down,zamani mtoto wa kike alikuwa na haya kidogo hata akisaidiwa anaona soni lkn sasa hivi we press order like huh!! Ila inapendeza pia kuona kuwa mwanaume ana play part in supporting
Ndio beijin hiyo MR usijishangae
Kama wenyewe wanakubaliwa kwa kuhonga unadhani mbeleni ndo hawatotakiwa kuendeleza?Wajifunze kua wakweli ili wakubalike kwa walivyo na sio pochi zao...otherwise wataendelea kutumika mpaka wachakae!Hili neno WiseLady!
Mi najiuliza, kwanini siku hizi ni HAPENDWI MTU BALI POCHI???
Je siyo wanaume wenyewe wanaendekeza hili?
Hili neno WiseLady!
Mi najiuliza, kwanini siku hizi ni HAPENDWI MTU BALI POCHI???
Je siyo wanaume wenyewe wanaendekeza hili?
Kama wenyewe wanakubaliwa kwa kuhonga unadhani mbeleni ndo hawatotakiwa kuendeleza?Wajifunze kua wakweli ili wakubalike kwa walivyo na sio pochi zao...otherwise wataendelea kutumika mpaka wachakae!
Una point ndugu Wit lakini pale tu wahusika wana uhusiano uliorasmishwa mfano baba kwa binti/watoto na mke au mume kwa mke.Pale wote wanafanya kazi au wana kipato nadhani ni haki kabisa wahudumiane.Unaweza kukuta mwanamke ana kipato zaidi ya mwanaume, lakini BF atajiumiza sana ili atimize hili jukumu batili!
Hata kisheria, pale mwanamke ana uwezo basi anawajibika kumtunza mumewe.Akina kaka/baba mjue mna haki kutunzwa na wake zenu! Hivyo acheni kutumia pesa kama chambo, kinga na rungu.
Unfortunately for me I dated only agemates so I didn't expect anything in return ...the man I married is also my agemate... We both were doing same job...equal salary..so I didn't expect any pampering except on birthdays and valentines....
Nilikuwa na mjadala na rafiki yangu mmoja siku chache zilizopita kuhusiana na tabia ambayo miaka hiyo ya 47 tulikuwa hatuchukulii kwa namna yoyote mbaya na ambayo bado inaendelea kwa namna moja au nyingine. Kulikuwa na tabia kwamba ukiwa na GF wakati ule wa shule basi alikuwa anakutegemea kwa matumizi madogomadogo.
Hivyo, akija kwako alikuwa anatarajia kuwa ataondoka na "chochote" na kwa kweli "mkikutana" bila "kupeana" chochote ilikuwa ni kama jambo lisilo la kawaida. Hii tabia iliendelea lakini ilikuwa ni tofauti kwa wale ambao walikuwa kama kwenye boarding schools ambapo hela zilikuwa zinakuja kwa mgao toka kwa familia kama mgao wa Tanesco. Huko boarding school mtu na gf wake walikuwa wanategemeana mmoja akipata chochote basi mwingine naye alikuwa ananeemeka..