Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐๐บ๐ฒ๐ฐ๐ต๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐๐ป๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฏ๐ฌ๐ ๐ฃ๐ฟ๐ผ
Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza kuichuka ina kila sifa ya kuitwa simu sio mchezo.
Sio hivyo tu mpaka watumiaji wa photographer , wapenda games, wale wazee wa multitasking hii simu ni yako maana muundo wake ni ultra premium material aiseeh ngoja nikupe siri ya hii simu.
Techno Camon 30s Pro specifications zake sasa;
๐จ Display yake ni 6.78inches AMOLED 1B colors + 120Hz + 1300units
๐ Processor yake MediaTek helio G100
๐จ Android version 14 unapata upgrade ya miaka 2 update
๐จ Internal storage yake ni 256Gb + 16GB Ram
๐จ Kamera ya nyuma 50mp + 2mp Auxiliary lens
๐จ Kamera ya Mbele ni 50mp AF
๐จ Battery 5000mah + 45wired + 25Wireless
โ๏ธ Kwa ufupi tu kuhusu hii simu
๐ญ Fingerprint yake iko mbele ta skrini ya kioo chako iko very fast kwenye kutoa lock ya simu ukigusa tu inatoa lock bila kutumia nguvu. Kioo chake ni Amoled Display yenye kutoa picha nzuri na bora pamoja na ufanisi wakati unatumia bila kuwa nzito.
๐ญ Kamera yake inatoa picha kali kupitia mfumo wa Ois Optical images stabilization yenye kukufanya ujisikie fahari unapopiga picha au kuchukua video kwenye mazingira yoyote yale unajiamini. Bila kusahau kwenye self kuna autofocus ya Eyes popote unaposogeza jicho lako vaai kamera inageuka yenyewe bila kuiambia.
๐ญ Ina teknolojia ya AI eraser yenye kuondoa kitu usichokitaka kwenye picha uliyopiga bila kuathili picha yako. Speaker zake ni Dolby Atmos yenye kutoa mdundo mkali balaa wakati unasikiliza audio au kutazama video unaweza sema umefunga home theater.
๐ญ Betri lake ni super maana unaweza chaji simu toka asilimia 0 - 100 ndani ya dakika 45 tu ikiwa na wireless chaji unaweza share chaji na simu nyingine za android ikiwa rafiki yako anahitaji humsaidie kidogo chaji.
๐ญ Ina IP53 waterproof unaweza piga simu na kuongea ukiwa chini ya maji au unaoga au sehemu yenye vumbi bila kuathili simu yako. Utacheza game yoyote, kutengeneza makala zako za mtandaoni au kuchukua video bila simu kupata joto yani we safi tu.
๐ญ Ina teknolojia ya infrared remote control unaweza ku control nyumba yako hata ukiwa mbali my home kuanzia Tv, taa za ndani , Geti au mlango wako bila kugusa.
Unasubiria nini โ๏ธ tembelea @tecnomobiletz sasa ujipatie simu yako.