Kwanini Umeficha Jina Lako Halisi??

situmii jina langu halisi kwa sababu mim
[HASHTAG]#sipendagi[/HASHTAG] ujinga#
 
Napenda kuangalia picha za kininja, kwahiyo na mimi nimekuwa ninja humu jf
 
Mi nadhani hata mtoa mada utupe pia sababu ya kuficha jina lako halisi.
 
Sitaki ujinga Mimi napenda nijitambie nilivo


Wanasema mtu huwa bora pale anapofanya vitu bila kujulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…