Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
2,620
Reaction score
5,260
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
 
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae(maumivu yasiyosameeka)
Nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu.mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauli aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia.tv,home theater na vitu vyote vya kijanjan nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda katoro,na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa.huwa nikisafiri namuachia funguo namtrust.kumbe anamawazo yake yakunikomesha bira Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake.na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama maraika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi maenzio umeyaamishia kwangu? Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
JIKAZE PIGA MOYO KONDE, ANGALIA USIJE UKAFANYA MAAMUZI UKAYAJUTIA
 
Back
Top Bottom