Malpighian
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 139
- 219
Salaam wana JF.
Katika uandaaji wa nembo ambazo hutumika katika mashirika,taasisi na makampuni mbali mbali, kunakuwa na uhusiano fulani kati ya hiyo nembo na shughuli husika za kampuni,shirika au taasisi hiyo.
Mfano katika nembo ya hospitali ya muhimbili,na chuo cha muhimbili kuna kama nyoka (inasemekana ni mnyoo) umejiviringisha katika fimbo ambapo kuna sababu ya wao kutumia alama hiyo.
Lengo la Uzi huu ni kutaka kujua alama ya masuke inayotumiwa na umoja wa mataifa katika nembo zake huwa inamaanisha nini?
Hizi ni baadhi ya nembo za umoja wa mataifa na zile za muhimbili.