Malpighian
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 139
- 219
AiseeeHuyo nyoka anawakilisha sanaa ya matibabu na kuponya inaaminika kua Mungu wa matibabu aliekua anaitwa Asclepius katika moja ya ma sinagogi yake alokua anatumia kuyatibu nyoka walikua wanazunguka wanawazunguka wagonjwa waliolala bila kuwadhuru
Hyo misalaba ni sawa na Christmas tu, inahusishwa na Yesu ila imefananishwa tu ikiwa na milengo na maana tofauti, kuna unalojua hulijui kujua haujui.Yaani nyoka kabisa anaonekana alaf wanatuambia mnyoo, wanatufanya hatuna macho siyo. Kuna hili lingine la kuvaa misalaba sana sana hii kwa wasanii na waigizaji, yaani misalaba imekua fashion apa ata sielewi imekaaje.
Labda lakini embu elezea hiyo maana tofauti. Tusipo fahamishwa tutajuaje sasa hiyo tofauti alaf isitoshe jamii imewachukilia kama kioo sasa mambo ya misalaba mwengine kajichora tatu ya misalaba. Mkuu funguka.Hyo misalaba ni sawa na Christmas tu, inahusishwa na Yesu ila imefananishwa tu ikiwa na milengo na maana tofauti, kuna unalojua hulijui kujua haujui.
Unajua msalaba unamaanisha kujiongeza au kuongeza pia unasimama kuiwakilisha herufi t ikimaanisha Tammuz mtoto wa jua aliyezaliwa 25/12 kwahyo kuna cheusi chekundu wanatuchezea, ila Yesu alisema wakweli mtawatambua kwa Matendo.Labda lakini embu elezea hiyo maana tofauti. Tusipo fahamishwa tutajuaje sasa hiyo tofauti alaf isitoshe jamii imewachukilia kama kioo sasa mambo ya misalaba mwengine kajichora tatu ya misalaba. Mkuu funguka.