Kwanini Una Mke/Mume/Mpenzi?

Kwanini Una Mke/Mume/Mpenzi?

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
1. Je Kwa Sababu Unahitaji Watoto/Mtoto?
2. Je Kwa Sababu Unahisi Upweke Uwapo Pekee?
3. Je Kwa Sababu Babu/Bibi Wanataka Mjukuu/Wajukuu?
4. Je Kwa Sababu Huwezi Ishi Pekee?
5. Je Kwa Sababu Ni Desturi Ya wanadamu?
6. Je Kwa Sababu Umekuwa mkubwa?
7. Je Kwa Sababu Unataka Upate Warithi Wa Mali Zako?
8. Je Kwa Sababu Unaogopa kupata Magonjwa Ya zinaa?
9. Je Kwa Sababu Unahitaji Kufanya Mapenzi?
10. Je Kwa Sababu Rafiki Yako Ana Mke/ Mume?

Swali:- Je Kwanini Una Mpenzi/Mke/Mume?

Angalizo: Usipooa/kuolewa Utaitwa Mchoyo, Hufanyi Kazi, Shoga, Unaogopa Majukumu, Mchawi N.k.

Weekend Njema Wakuu, Tukutane ZANZIBAR BAR kwa Wapenda Kiti fire.

1. Swali:- Je Kwanini Una Mpenzi/Mke/Mume?

Weekend Njema Wakuu, Tukutane ZANZIBAR BAR kwa Wapenda Kiti fire.

1. Nimeoa lakini sijui kwanini nilioa!

Msalimie Mzee Mmasi, Mwambie jumapili kuna big match kwahiyo aweke Dstv channel sawa, halafu apunguze Serengeti!

Niwekee order ya kilo moja na ndizi mbili - kavu

Nimeoa lakini sijui kwanini nilioa!

Umenichekesha sana mkuu
Mkuu atapata Salamu zako, Na Jumapili njoo tu na uta-enjoy sana kuangalia mechi pale,order nimeweka usiwe na tatizo.

1. Je Kwa Sababu Unahitaji Watoto/Mtoto?
2. Je Kwa Sababu Unahisi Upweke Uwapo Pekee?
3. Je Kwa Sababu Babu/Bibi Wanataka Mjukuu/Wajukuu?
4. Je Kwa Sababu Huwezi Ishi Pekee?
5. Je Kwa Sababu Ni Desturi Ya wanadamu?
6. Je Kwa Sababu Umekuwa mkubwa?
7. Je Kwa Sababu Unataka Upate Warithi Wa Mali Zako?
8. Je Kwa Sababu Unaogopa kupata Magonjwa Ya zinaa?
9. Je Kwa Sababu Unahitaji Kufanya Mapenzi?
10. Je Kwa Sababu Rafiki Yako Ana Mke/ Mume?

Swali:- Je Kwanini Una Mpenzi/Mke/Mume?

Angalizo: Usipooa/kuolewa Utaitwa Mchoyo, Hufanyi Kazi, Shoga, Unaogopa Majukumu, Mchawi N.k.
Weekend Njema Wakuu, Tukutane ZANZIBAR BAR kwa Wapenda Kiti fire.

Sometimes its all the above (except no 7 of course mana sina mali) and sometimes wewe mwenyewe unajishangaa why are you even married. But what ever the varied answer you get; at the end of the day its worth it....

Nimeoa lakini sijui kwanini nilioa!

Msalimie Mzee Mmasi, Mwambie jumapili kuna big match kwahiyo aweke Dstv channel sawa, halafu apunguze Serengeti!

Niwekee order ya kilo moja na ndizi mbili - kavu

Mmmmhh halafu wewe......

Sometimes its all the above (except no 7 of course mana sina mali) and sometimes wewe mwenyewe unajishangaa why are you even married. But what ever the varied answer you get; at the end of the day its worth it....

Hapo Kwenye rangi nyekundu nadhani panaweza kuhusika kwa sababu pia kama utapata mtoto utahitaji aendeleze kile ndoto/malengo yako ambayo hujayatimiza na utamlea katika misingi ya kuwajibika ili awe kama wewe. Mpaka sasa sijapata jibu, Why did people married?

sijui kabisa,nijibie

Mkuu Umeoa au Una Mpenzi? Kwa Mtizamo wangu nafikiri kama una mpenzi au umeoa basi utajua ni kipi kilichokufanya uoe au uolewe. Nimtazamo tu mkuu.

Kaangalia tumbo lake pekee, Usihofu nitakuwekea na wewe kama kilo moja hivi nadhani wewe itakutosha.

Hapa sasa tunakwenda sawa...

ksb ya NO 9 kwa uhuru zaid manake kabla ilikuwa kwa kificho nilikuwa si enjoy........lol

Niliowa baada ya kuangalia muvi la mzee small anapakatwa na bichau. Dah! binadam tumetoka mbali jamani.

Hapo Kwenye rangi nyekundu nadhani panaweza kuhusika kwa sababu pia kama utapata mtoto utahitaji aendeleze kile ndoto/malengo yako ambayo hujayatimiza na utamlea katika misingi ya kuwajibika ili awe kama wewe. Mpaka sasa sijapata jibu, Why did people married?

Gbolin panahusika kama mali kweli ipo. Mi nafikiri elimu na muendelezo wa ndoto tofauti kidogo na kua na mali moja kwa moja. Mana elimu tunaona hata hapa kwetu mtu hana uwezo lakini atahakikisha mtoto asome...

Niliowa baada ya kuangalia muvi la mzee small anapakatwa na bichau. Dah! binadam tumetoka mbali jamani.

Hahhaahahaahhaahhaahahhahahaahahahha, Mkuu umenichekesha sana, Weekend Njema Mkuu.

Gbolin panahusika kama mali kweli ipo. Mi nafikiri elimu na muendelezo wa ndoto tofauti kidogo na kua na mali moja kwa moja. Mana elimu tunaona hata hapa kwetu mtu hana uwezo lakini atahakikisha mtoto asome...

Nakuunga mkono moja kwa mia moja.

Back
Top Bottom