Mkuu Umeoa au Una Mpenzi? Kwa Mtizamo wangu nafikiri kama una mpenzi au umeoa basi utajua ni kipi kilichokufanya uoe au uolewe. Nimtazamo tu mkuu.
Me kidume,...
nimeoa....ila sijui kwa nini!
Nimependa sana web page,..."bongoland.webs.com"
Nilikuwa na girl friend kwakuwa nilikuwa nataka kuoa, na nilioa kwakuwa nilikuwa najisikia um grown up. I just felt ready for those sweet responsibilities including some which you mentioned.
Niliowa baada ya kuangalia muvi la mzee small anapakatwa na bichau. Dah! binadam tumetoka mbali jamani.
- Je Kwa Sababu Unahitaji Watoto/Mtoto?
- Je Kwa Sababu Unahisi Upweke Uwapo Pekee?
- Je Kwa Sababu Babu/Bibi Wanataka Mjukuu/Wajukuu?
- Je Kwa Sababu Huwezi Ishi Pekee?
- Je Kwa Sababu Ni Desturi Ya wanadamu?
- Je Kwa Sababu Umekuwa mkubwa?
- Je Kwa Sababu Unataka Upate Warithi Wa Mali Zako?
- Je Kwa Sababu Unaogopa kupata Magonjwa Ya zinaa?
- Je Kwa Sababu Unahitaji Kufanya Mapenzi?
- Je Kwa Sababu Rafiki Yako Ana Mke/ Mume?
Swali:- Je Kwanini Una Mpenzi/Mke/Mume?
Angalizo: Usipooa/kuolewa Utaitwa Mchoyo, Hufanyi Kazi, Shoga, Unaogopa Majukumu, Mchawi N.k.
Weekend Njema Wakuu, Tukutane ZANZIBAR BAR kwa Wapenda Kiti fire.