Kwanini una wapenzi wawili au zaidi?

Kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano unaona bora uwe na msaidizi (kama humuelewi uliyenae)ikitokea mlipuko wa urusi unabadili njia unaelekea North Korea.simpo
 
Labda ni walewenzetu wanaoruhusiwa kuwa na wake wanne!! au?
 
Sababu kuu ni kuwasaidia wanawake wasio na wanaume,maana ikitokea sisi wanaume tukasema kila mmoja abaki na mkewe,basi tambua kuna maelfu ya wanawake wataota kutu huko kwenye vipochi manyoa vyao
 
Mkuu katika vitu unatakiwa uwe navyo makini nikuogopa kuachwa kwa hio kuwa na demu zaidi ya mmoja ni formula tuliyonayo wanaume kwa Sasa

Hii yote imetokana na kumpenda demu wa kwanza mkazinguana
 
Mkuu katika vitu unatakiwa uwe navyo makini nikuogopa kuachwa kwa hio kuwa na demu zaidi ya mmoja ni formula tuliyonayo wanaume kwa Sasa

Hii yote imetokana na kumpenda demu wa kwanza mkazinguana
we need backup, OVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…