Kwanini una wapenzi wawili au zaidi?

Yaani samaki tu jamani! Wanakifu[emoji23][emoji23] kidding!!
 
Sababu kubwa ni upendo na uaminifu kupungua. Maana mpenzi uliyenaye nae ana mpenz wake (mbali na wewe) sasa na ww inabid utafte mpenzi wako (mbali na yeye) ili kubalance
 
Kiukwel hata celewagi kwann ninawapenzi wengii maana kilaa nikitongozaa nakubaliwaa
 
Tuambie hapa nini inakusukuma kuanzisha mahusiano mapya na tayari una mpenzi mwingine ..?
unapofanya zaidi na kwa variety ndio unakuwa vizuri zaidi na ndio inatakiwa hivyo. Kwa uchache usikose mademu watano, na kwa mwananke yeyote usithubutu kuwa mshika pembe au mwakuliwa. Kula kwanza hata ukimfanya rafiki baada ya kumla awe ziada tu for extreme emergency
 
Kidole kimoja hakivunji chawa..ingawa siyo poa
 
Nina mmoja hila natamani ningekuwa na wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…