Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
sawa. sasa kwanini urundike manamba tele ambayo ww mwenyewe unajua kabisa hautawapigia ao watu?kuna kitu kinaitwa "change of circumstances", unaghairi baada ya kuchukua number na maisha yanaendelea, labda yeye akupigie maana number mlibadirishana na kila mmoja ana jukumu la kumpigia mwingine.
Jibu nimetoa tayari- change of circumstances. Siku hazigandi labda yeye atapiga...sawa. sasa kwanini urundike manamba tele ambayo ww mwenyewe unajua kabisa hautawapigia ao watu?