believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Kuna kila dalili kuwa sasa wamiliki wa vyuma(bastola) mjini wamekuwa wengi,ikitokea kutoelewana kidogo kati ya mtu na mtu iwe ni bar,kwenye foleni,club nk,chuma kinatolewa na mara nyingine kutumiwa,ukiangalia mazingira ya kwann chuma imetumika hupati mantiki kabisa,sifungamani upande wowote,nataka kupata exposure zenu wadau,swali langu linakuja hivi,unamiliki chuma kwa kuwa
1.usalama sasa nchini ni mdogo?
2.imekuwa fashion kuwa na chuma?
3.for prestige?
4.to justify your status?
5.gap kati masikini na tajiri limepanuka?
6.vyuma vinapatikana kwa urahisi?
7.wababe wamekuwa wengi hivyo chuma ndo mkombozi......
wadau fungukeni
1.usalama sasa nchini ni mdogo?
2.imekuwa fashion kuwa na chuma?
3.for prestige?
4.to justify your status?
5.gap kati masikini na tajiri limepanuka?
6.vyuma vinapatikana kwa urahisi?
7.wababe wamekuwa wengi hivyo chuma ndo mkombozi......
wadau fungukeni