Je kwa watu ambao wanajiua inakuaje?, pia hiyo fear of the unknown naona hadi uwe unaamini kuna after life?Fear of the unknown ndo sababu if you ask me!! Like naweza kulinganisha hii case na maybe this. Imagine kuna vikapu viwili, Kimoja kikiwa na nyoka mwenye sumu kali ya kukuua in seconds huku kingine kiko tupu. Ukipewa option kua ni lazima uweke mkono wako kwenye kikapu kimojawapo, utasita na kuanza kuogopa not because of the poisonous snake(this comes later) maana unajua one of the choice is safe so biggest fear inkua ni kutokujua which busket has the snake. Binadamu ni kiumbe anaetaka kujua whats going on around him mda wote, na ukitaka umtese more ni umfiche na kumwacha hajui wats going on. Ukirudi kwenye kikapu hapo fear anayokua nayo mtu mwenye option mbili inakua ni tofauti na yule atakaeekewa kikapu kimoja tu chenye nyoka, ye anajua wats the outcome and goes in prepd tofaut na wa kwanza. So the biggest fear is not knowing what comes and that if you make a wrong choice you're doomed! Thats wat i think
Na wanaojiua wanaogopa kufa?
Karibu utoe mtazamo wakoMmmmh...
Kwa hiyo fear yako sio ya after life, je ukipewa option lini utakua tayari kufa in terms ya miaka utaweza sema.Siogopi kfa lakini naogopa matokeo na athari za kifo changu kwa jamii. Familia itaishije na maisha yao yatakuwaje, nani ataziba na kwa vipi ataziba pengo naloacha? Na kuhusu wale niliowapenda na plans nilizotumia miaka kuzijenga na kuzifanya kuwa halisi? Hapo ndio kitendawili
Nadhani kuna kimoja unaogopa zaidi.a na b yote majibu.
Kwa hiyo fear yako sio ya after life, je ukipewa option lini utakua tayari kufa in terms ya miaka utaweza sema.
Na wanaojiua wanaogopa kufa?
Jamani wadau katika pita pita zangu nilijikuta katika mjadala mkali kuhusu kifo, Mjadala ulikua hivi:
1. Je watu wanahofia kufa kwa sababu ya uoga wa kutojua mbele kuna nini? (motoni na peponi) au
2. Watu wanaogopa kufa kutokana na maisha anayoacha ( familia,marafiki)
Sasa wadau naomba michango yenu kwa mtazamo wako au nafsi yako unaona kwanini mtu anaogopa kufa...???
N:B Majibu ya mjadala huu ya siingiliane na imani za dini ila mitazamo huru ya kibinadamu!!
Kwahiyo kikubwa ni watu au maisha yako unayoacha ndio yanakutia hofu ila sio suala la motoni au peponi?Watu hawaogopi KUFA bali wanaogopa KUTANGULIA
Seriously, kama umepoteza sababu ya kuishi (mzee sana, mke au mume na rafiki zako wote wamekwisha kufa, una maradhi yasiyotibika, familia yako haioni umuhimu wako tena, nk) basi kifo hakitishi tena BALI namna utakavyokufa (kuliwa na simba, kugongwa na gari, au kufa peacefully usingizini) ndicho kitu kinachowatia watu wengi mtera.
Bila ya kuingiza udini, IMANI yako inaweza kukusaidia sana katika kujitaarisha kufa.