Kwanini unasambaza VVU kwa makusudi?

Dah tahadhari ni muhimu na wanao usambaza kwa makusudi wachukuliwe hatua na adhabu kali ikibidi
Shida huwezi kuwajua mtu anakuja kustuka ameshabanjuka nae.

Ikibidi namna ya kupimana ukimwi iwe sehemu ya mtaala wa elimu madogo wafundishwe namna ya kujipima maana siku hizi condoms zimekuwa mzigo kwa vijana basi angalao wangetembea na tools za kujipima kabla ya ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…