Mara nyingi Wanaume after tendo kuna hisia za majuto huwa zinakuja(regret) na hapo ndo akili hurudi๐ซ ๐ซSasa hapo kosa ni huyo anaesemwa anasambaza au huyu alieshindwa kufata kanuni za kuzagamuana na kuchukua tahadhari?
Niambie bas PM maana mi muoga ili unipe ujasiri kidogo.Hiyo ni Siri yangu kwanini siogopi,elewa tu siogopi.
Majuto ni mjukuu usitumie kicwa cha chini kufikiri kijanaMara nyingi Wanaume after tendo kuna hisia za majuto huwa zinakuja(regret) na hapo ndo akili hurudi๐ซ ๐ซ
Pole,Kuna namna unafanya ndio maana unaogopa.Niambie bas PM maana mi muoga ili unipe ujasiri kidogo.
Bila shida then anasindikiza na maji sasa๐๐๐๐ฅNimecheka Kwa sauti,eti anavitafuna๐๐๐๐๐
Aisee mie kitu sipendi Dawa๐๐Bila shida then anasindikiza na maji sasa๐๐๐๐ฅ
Daaah๐Huwa nasikia watu wenye ngwengwe wanakuwaga na nyegezi balaaa
Acha tu nipo hapa nangalia mpira ila mawazo kibao nilichepuka jumamosi. Halafu sikutumia kingaPole,Kuna namna unafanya ndio maana unaogopa.
Si mliaminiana๐,Acha tu nipo hapa nangalia mpira ila mawazo kibao nilichepuka jumamosi. Halafu sikutumia kinga
Same๐ซAisee mie kitu sipendi Dawa๐๐
Na mimi nshaisikia hiyo Nyegezi+hasira๐ ๐ wakuu tuwe makini hatujui siku wala saaa, waliopata hawakutaka wala kupendaDaaah๐
Ngoja waje kutoa ushuhuda๐
Mwenzangu alichukuwa tahadhari kuhusu mimba ila sasa kwenye magonjwa ndo hatujui hapa mpaka akili ije inikae sawa sijui lini .nikiwashwa kidogo tu nahisi ninao ๐คฃSi mliaminiana๐,
Na swali ulilokumbuka kuuliza kuhusu siku za hatari eeh๐,unaogopa mimba kuliko ukimwi๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Ukikanyaga pabaya coincidence za kukutana na mada, habari kuhusu ukimwi sijui huwa inatoka wapiAcha tu nipo hapa nangalia mpira ila mawazo kibao nilichepuka jumamosi. Halafu sikutumia kinga
Hii ya hasira kweli๐๐,wakali sana,ukute tokea zamani huko skuli tulijisemea ticha Fulani mkali kumbe ukimwi๐๐๐Na mimi nshaisikia hiyo Nyegezi+hasira๐ ๐ wakuu tuwe makini hatujui siku wala saaa, waliopata hawakutaka wala kupenda
Pole๐๐,Mwenzangu alichukuwa tahadhari kuhusu mimba ila sasa kwenye magonjwa ndo hatujui hapa mpaka akili ije inikae sawa sijui lini .nikiwashwa kidogo tu nahisi ninao ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ Acha aise unakaa na mawazo sana hii mara ya pili inanitokea mimiUkikanyaga pabaya coincidence za kukutana na mada, habari kuhusu ukimwi sijui huwa inatoka wapi
Utasikia maambukizi nchini yameongezeka kwa asilimia 2.09 ๐๐๐๐
Nipe mbinu bana ya kupima bila uoga ๐คฃ๐คฃPole๐๐,
Njoo nikupime,sitokupa majibu,itakuwa Siri yangu๐Nipe mbinu bana ya kupima bila uoga ๐คฃ๐คฃ