Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu..
SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi??
#Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.gawa
Kila mtu yupo kwenye risk, hata wewe ambae una mtu mmoja, kama sio mwaminifu upo kwenye risk...tusijivue katika hili.Waache wasambaziane,
Utam mnapenda, ila hapo kwenye umeme kila.mtu mwoga!Jina la uzi limebadilishwa linaogopesha😱
Mnapenda nyinyi wazee wa hovyo! Sie aanh🙌🏾Utam mnapenda, ila hapo kwenye umeme kila.mtu mwoga!
Sisi wazee tumepokea, nyie aaanh mna kautakatifu kenu kwenye kuwekana😅Mnapenda nyinyi wazee wa hovyo! Sie aanh🙌🏾
Nyie wazee ndio mnarubuni tubinti twa watu mnatuweka! Ukimwi utawanyoosha📌Sisi wazee tumepokea, nyie aaanh mna kautakatifu kenu kwenye kuwekana😅
Kila mtu ni victim, hakuna aliyepo salama. Kuwa faithful na jamaa akitembeze uone matokeo yake.Nyie wazee ndio mnarubuni tubinti twa watu mnatuweka! Ukimwi utawanyoosha📌
Ni sahihi hasahasa nyinyi wneye immunity ndogo!😎Kila mtu ni victim, hakuna aliyepo salama. Kuwa faithful na jamaa akitembeze uone matokeo yake.
Wala sio issue ya immunity na nani kakuambia tuna immunity ndogo? muhimu ni utelezi wa kutosha ili michubuko isiwepo. Tatizo ukitane na Sahara desert halafu ina umeme, kwisha!Ni sahihi hasahasa nyinyi wneye immunity ndogo!😎
Nunua baby johson za kutosha weka stock ndani msichubuane 😂Wala sio issue ya immunity na nani kakuambia tuna immunity ndogo? muhimu ni utelezi wa kutosha ili michubuko isiwepo. Tatizo ukitane na Sahara desert halafu ina umeme, kwisha!
😂😂😂,Kila mtu yupo kwenye risk, hata wewe ambae una mtu mmoja, kama sio mwaminifu upo kwenye risk...tusijivue katika hili.
Uzi umeunganishwa.Jina la uzi limebadilishwa linaogopesha😱
Looh,mmechachamaa na Ukimwi😂Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu.
Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu.
Nakukumbusha vaa Condom.
- AXIOM APEX VERBOSE
- bora kinga kondomu kuliko tiba
- Replies: 50
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Hutaki elekea 7/7 nenda kaandamane
Teleza naturally mambo ya baby Johnson na ky jelly ya nini, kwani huli kwa afya? Punguza kula junkies 😅Nunua baby johson za kutosha weka stock ndani msichubuane 😂
Next time tukikutana hapa kati mi nikawa nimeyavagaa je??? What will you do????Sijawahi kukutana na mwanamke mwenye VVU...