Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Umeona video ipo attached hapo mkuu kwa haraka hivyoSawa mkuu
Machine ya miwa Kama hii ndio inayofaa maana wengi tunapenda usafi na hii itaifanya juisi iwe safi pindi unapoifanyia kazi.
Sifa nyingine umeme kidogo tu unatumika Hakika inafaa kibiashara.
Unaweza kuangalia hapa katika video.
Zipo za kutosha unaipata kwa million moja na laki mbili na nusu tu tupigie 0779593460 kariakoo na ilala
View attachment 1535892