Kwanini unibadilishie mfumo wangu wa maisha??!!

Jamani my spanish lady kukukataza kuvaa vimini ndio umeileta mada huku ? una miguu mizuri huwa napata shida watu wanavyokukodolea macho kila tukitoka,kama yule jamaa siku ile iliegongana na mbeba mchemsho na kuungua,yote kwa kukuangalia.
 
mimi naamini kuwa 'change begins with you'
ili mimi nibadilike yapaswa wewe ubadilike
mimi nikiona umebadilika na mimi nitabadilika.simpo.
hakuna kubadilishana hapo,umebadilika mwenyewe, kutokana na mimi (tungo tata i know ila ndo ukweli wenyewe)
they say behaviour breeds behaviour..
wewe huwezi kunambia mimi nisivae kimini wakati wewe unasuka nywele unavaa hereni..change urself first ndo mimi nichange..it applies to tabia zote..huwezi kumbadilisha mtu mzima ila mshauri then achague mwenyewe kubadilika.

Nawasilisha
 
Sweetdada na Sarafina hawa wanaosuka,kuvaa heleni na kuvaa suruali chini ya makalio ni wanawake wenzenu hao sio wanaume.
 
Jamani my spanish lady kukukataza kuvaa vimini ndio umeileta mada huku ? una miguu mizuri huwa napata shida watu wanavyokukodolea macho kila tukitoka,kama yule jamaa siku ile iliegongana na mbeba mchemsho na kuungua,yote kwa kukuangalia.

usinikataze jamani, mimi hiyo kitu ndio roho inapenda.
Waache washangae ila mali yako. Lol!
 
akili nyingi sana we binti!!laiti wote mngekua na mtazamo huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…